Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Yoh 1:3-4

1 Yoh 1:3-4 SUV

hilo tuliloliona na kulisikia, twawahubiri na ninyi; ili nanyi pia mpate kushirikiana nasi: na ushirika wetu ni pamoja na Baba, na pamoja na Mwana wake Yesu Kristo. Na haya twayaandika, ili furaha yetu itimizwe.

Soma 1 Yoh 1