Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Kor 9:13-14

1 Kor 9:13-14 SUV

Hamjui ya kuwa wale wazifanyao kazi za hekaluni hula katika vitu vya hekalu, na wale waihudumiao madhabahu huwa na fungu lao katika vitu vya madhabahu? Na Bwana vivyo hivyo ameamuru kwamba wale waihubirio Injili wapate riziki kwa hiyo Injili.

Soma 1 Kor 9