Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Kor 5:1-2

1 Kor 5:1-2 SUV

Yakini habari imeenea ya kuwa kwenu kuna zinaa, na zinaa ya namna isiyokuwako hata katika Mataifa, kwamba mtu awe na mke wa babaye. Nanyi mwajivuna, wala hamkusikitika, ili kwamba aondolewe miongoni mwenu huyo aliyetenda jambo hilo.

Soma 1 Kor 5