Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Kor 4:14-16

1 Kor 4:14-16 SUV

Siyaandiki hayo ili kuwatahayarisha; bali kuwaonya kama watoto niwapendao. Kwa kuwa ijapokuwa mna waalimu kumi elfu katika Kristo, walakini hamna baba wengi. Maana mimi ndimi niliyewazaa katika Kristo Yesu kwa njia ya Injili. Basi, nawasihi mnifuate mimi.

Soma 1 Kor 4

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Kor 4:14-16

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha