Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Kor 15:55-57

1 Kor 15:55-57 SUV

Ku wapi, Ewe mauti, kushinda kwako? U wapi, Ewe mauti, uchungu wako? Uchungu wa mauti ni dhambi, na nguvu za dhambi ni torati. Lakini Mungu na ashukuriwe atupaye kushinda kwa Bwana wetu Yesu Kristo.

Soma 1 Kor 15

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Kor 15:55-57

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha