Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Kor 15:21-23

1 Kor 15:21-23 SUV

Maana kwa kuwa mauti ililetwa na mtu, kadhalika na kiyama ya wafu ililetwa na mtu. Kwa kuwa kama katika Adamu wote wanakufa, kadhalika na katika Kristo wote watahuishwa. Lakini kila mmoja mahali pake; limbuko ni Kristo; baadaye walio wake Kristo, atakapokuja.

Soma 1 Kor 15

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Kor 15:21-23

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha