Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Kor 14:14-15

1 Kor 14:14-15 SUV

Maana nikiomba kwa lugha, roho yangu huomba, lakini akili zangu hazina matunda. Imekuwaje, basi? Nitaomba kwa roho, tena nitaomba kwa akili pia; mtaimba kwa roho, tena nitaimba kwa akili pia.

Soma 1 Kor 14