Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Kor 13:4-7

1 Kor 13:4-7 SUV

Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni; haukosi kuwa na adabu; hautafuti mambo yake; hauoni uchungu; hauhesabu mabaya; haufurahii udhalimu, bali hufurahi pamoja na kweli; huvumilia yote; huamini yote; hutumaini yote; hustahimili yote.

Soma 1 Kor 13

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Kor 13:4-7