1 Kor 12:18-19
1 Kor 12:18-19 SUV
Bali Mungu amevitia viungo kila kimoja katika mwili kama alivyotaka. Lakini kama vyote vingekuwa kiungo kimoja, mwili ungekuwa wapi?