Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Nya 16:23-24

1 Nya 16:23-24 SUV

Mwimbieni BWANA, nchi yote; Tangazeni wokovu wake siku kwa siku. Wahubirini mataifa habari za utukufu wake, Na watu wote habari za maajabu yake.

Soma 1 Nya 16