Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zekaria 6:13

Zekaria 6:13 NENO

Ni yeye atakayejenga Hekalu la BWANA, naye atavikwa utukufu na ataketi kumiliki kwenye kiti cha enzi. Atakuwa kuhani kwenye kiti chake cha enzi. Hapo patakuwa na amani kati ya hao wawili.’