Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zekaria 1:17

Zekaria 1:17 NENO

“Endelea kutangaza zaidi kwamba: Hivi ndivyo asemavyo BWANA wa majeshi: ‘Miji yangu itafurika tena ustawi na BWANA atamfariji tena Sayuni na kumchagua Yerusalemu.’ ”