Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Warumi 8:18-19

Warumi 8:18-19 NEN

Nayahesabu mateso yetu ya wakati huu kuwa si kitu kulinganisha na utukufu utakaodhihirishwa kwetu. Kwa maana viumbe vyote vinangoja kwa shauku kudhihirishwa kwa watoto wa Mungu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Warumi 8:18-19

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha