Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Warumi 7:21-22

Warumi 7:21-22 NENO

Hivyo naiona sheria ikitenda kazi. Ninapotaka kutenda jema, jambo baya liko papo hapo. Kwa maana katika utu wangu wa ndani naifurahia sheria ya Mungu.

Video ya Warumi 7:21-22