Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Warumi 2:15-16

Warumi 2:15-16 NENO

Wao wanaonesha kwamba lile linalotakiwa na sheria limeandikwa kwenye mioyo yao, ambayo pia dhamiri zao zikiwashuhudia, nayo mawazo yao yenye kupingana yatawashtaki au kuwatetea.) Hili litatukia siku hiyo Mungu atakapozihukumu siri za wanadamu kupitia kwa Yesu Kristo, kama isemavyo Injili yangu.

Video ya Warumi 2:15-16