Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Warumi 10:16-17

Warumi 10:16-17 NENO

Lakini si wote waliotii Habari Njema. Kwa maana Isaya asema, “Bwana, ni nani aliyeamini ujumbe wetu?” Basi, imani chanzo chake ni kusikia, na kusikia huja kwa neno la Kristo.

Video ya Warumi 10:16-17