Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Warumi 1:1-2

Warumi 1:1-2 NENO

Paulo, mtumishi wa Kristo Yesu, aliyeitwa kuwa mtume na kutengwa kwa ajili ya Injili ya Mungu, Injili ambayo Mungu alitangulia kuiahidi kwa vinywa vya manabii wake katika Maandiko Matakatifu

Video ya Warumi 1:1-2