Zaburi 92:12-13
Zaburi 92:12-13 NENO
Wenye haki watastawi kama mtende, watakuwa kama mwerezi wa Lebanoni, waliopandwa katika nyumba ya BWANA, watastawi katika nyua za Mungu wetu.