Ni vyema kumshukuru BWANA na kuliimbia jina lako, Ee Uliye Juu Sana, kuutangaza upendo wako asubuhi, na uaminifu wako wakati wa usiku, kwa zeze yenye nyuzi kumi na kwa sauti ya kinubi. Ee BWANA, kwa kuwa matendo yako yamenifurahisha, nitaziimba kwa shangwe kazi za mikono yako. Ee BWANA, tazama jinsi yalivyo makuu matendo yako, tazama jinsi yalivyo ya kina mawazo yako! Mjinga hafahamu, mpumbavu haelewi, ingawa waovu huchipua kama majani na wote watendao mabaya wanastawi, wataangamizwa milele. Bali wewe, Ee BWANA, utatukuzwa milele.
Soma Zaburi 92
Sikiliza Zaburi 92
Shirikisha
linganisha matoleo yote: Zaburi 92:1-8
Hifadhi mistari, soma bila mtandao, tazama klipu za mafunzo, na zaidi!
YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha
Nyumbani
Biblia
Mipango
Video