Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 9:1-2

Zaburi 9:1-2 NENO

Ee BWANA, nitakutukuza kwa moyo wangu wote, nitayasimulia matendo yako yote ya ajabu. Nitafurahi na kushangilia ndani yako. Nitaliimbia sifa jina lako, Ewe Uliye Juu Sana.