Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 82:4-5

Zaburi 82:4-5 NEN

Mwokoeni mnyonge na mhitaji, wakomboeni kutoka mkononi mwa mwovu. “Hawajui lolote, hawaelewi lolote. Wanatembea gizani; misingi yote ya dunia imetikisika.

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha