Zaburi 77:19-20
Zaburi 77:19-20 NEN
Njia yako ilipita baharini, mapito yako kwenye maji makuu, ingawa nyayo zako hazikuonekana. Uliongoza watu wako kama kundi kwa mkono wa Mose na Aroni.