Zaburi 77:19-20
Zaburi 77:19-20 Biblia Habari Njema (BHN)
Wewe uliweka njia yako juu ya bahari; ulitembea juu ya maji yale mengi, lakini nyayo zako hazikuonekana. Uliwaongoza watu wako kama kondoo, chini ya uongozi wa Mose na Aroni.
Shirikisha
Soma Zaburi 77Zaburi 77:19-20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Njia yako ilikuwa katika bahari. Na mapito yako yalikuwa katika maji makuu; Hatua zako hazikujulikana. Uliwaongoza watu wako kama kundi, Kwa mkono wa Musa na Haruni.
Shirikisha
Soma Zaburi 77