Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 51:1-2

Zaburi 51:1-2 NENO

Ee Mungu, unihurumie, kwa kadiri ya upendo wako usiokoma, kwa kadiri ya huruma yako kuu, uyafute makosa yangu. Unioshe na uovu wangu wote na unitakase dhambi yangu.