Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 137:3-4

Zaburi 137:3-4 NENO

kwa maana huko hao waliotuteka walitaka tuwaimbie nyimbo; watesi wetu walidai nyimbo za furaha; walisema, “Tuimbieni wimbo mmoja kati ya nyimbo za Sayuni!” Tutaimbaje nyimbo za BWANA, tukiwa nchi ya kigeni?