Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 134:1-3

Zaburi 134:1-3 NEN

Msifuni BWANA, ninyi nyote watumishi wa BWANA, ninyi mnaotumika usiku ndani ya nyumba ya BWANA. Inueni mikono yenu katika pale patakatifu na kumsifu BWANA. Naye BWANA, Muumba wa mbingu na dunia, awabariki kutoka Sayuni.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 134:1-3

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha