Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 127:1-2

Zaburi 127:1-2 NEN

BWANA asipoijenga nyumba, wajengao hufanya kazi bure. BWANA asipoulinda mji, walinzi wakesha bure. Mnajisumbua bure kuamka mapema na kuchelewa kulala, mkitaabikia chakula: kwa maana yeye huwapa usingizi wapenzi wake.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zaburi 127:1-2

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha