Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 121:1-2

Zaburi 121:1-2 NENO

Nayainua macho yangu natazama milima: msaada wangu utatoka wapi? Msaada wangu hutoka kwa BWANA, Muumba wa mbingu na dunia.