Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 119:78-80

Zaburi 119:78-80 NEN

Wenye majivuno na waaibishwe kwa kunikosea mimi bila sababu, lakini mimi nitatafakari juu ya mausia yako. Wale wakuchao na wanigeukie mimi, hao ambao wanazielewa sheria zako. Moyo wangu usiwe na lawama katika kutii maagizo yako, ili nisiaibishwe.

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha