Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 118:19-21

Zaburi 118:19-21 NEN

Nifungulie malango ya haki, nami nitaingia na kumshukuru BWANA. Hili ni lango la BWANA ambalo wenye haki wanaweza kuliingia. Nitakushukuru, kwa kuwa ulinijibu, umekuwa wokovu wangu.

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha