Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 117

117
Zaburi 117
Sifa za Bwana
1Msifuni Bwana, enyi mataifa yote;
mtukuzeni yeye, enyi watu wote.
2Kwa kuwa upendo wake kwetu ni mkuu,
uaminifu wa Bwana unadumu milele.
Msifuni Bwana.#117:2 Msifuni Bwana kwa Kiebrania ni Hallelu Yah.

Iliyochaguliwa sasa

Zaburi 117: NENO

Kuonyesha

Shirikisha

Nakili

None

Je, ungependa vivutio vyako vihifadhiwe kwenye vifaa vyako vyote? Jisajili au ingia