Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 107:28-29

Zaburi 107:28-29 NENO

Ndipo walipomlilia BWANA katika shida yao, naye akawatoa kwenye taabu yao. Akatuliza dhoruba kwa mnongʼono, mawimbi ya bahari yakatulia.