Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zaburi 103:19-22

Zaburi 103:19-22 NENO

BWANA ameweka imara kiti chake cha enzi mbinguni, na ufalme wake unatawala vitu vyote. Mhimidini BWANA, enyi malaika wake, ninyi mlio mashujaa, mnaozitii amri zake, ninyi mnaotii neno lake. Mhimidini BWANA, ninyi jeshi lake lote la mbinguni, ninyi watumishi wake mnaofanya mapenzi yake. Mhimidini BWANA, enyi kazi zake zote kila mahali katika milki yake.