Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 24:23-25

Mithali 24:23-25 NEN

Hii pia ni misemo ya wenye hekima: Kuonyesha upendeleo katika hukumu si vyema: Yeyote amwambiaye mwenye hatia, “Wewe huna hatia,” Kabila zitamlaani na mataifa yatamkana. Bali itakuwa vyema kwa wale watakaowatia hatiani wenye hatia, nazo baraka tele zitawajilia juu yao.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mithali 24:23-25

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha