Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 24:19-20

Mithali 24:19-20 NENO

Usikasirike kwa sababu ya wapotovu, wala usiwaonee wivu waovu, kwa maana mpotovu hana tumaini la siku zijazo, nayo taa ya waovu itazimwa.