Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 13:20-23

Mithali 13:20-23 NENO

Yeye atembeaye na mwenye hekima atapata hekima, bali rafiki wa mpumbavu hupata madhara. Balaa humwandama mtenda dhambi, bali mafanikio ni thawabu kwa mwenye haki. Mtu mwema huwaachia wana wa wanawe urithi, bali mali ya wenye dhambi imehifadhiwa kwa ajili ya wenye haki. Shamba la mtu maskini laweza kuzalisha chakula kingi, bali dhuluma hukifutilia mbali.