Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mithali 1:7-8

Mithali 1:7-8 NENO

Kumcha BWANA ni chanzo cha maarifa, lakini wapumbavu hudharau hekima na adabu. Mwanangu, sikiliza mwongozo wa baba yako, wala usiyaache mafundisho ya mama yako.