Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wafilipi 2:17-18

Wafilipi 2:17-18 NENO

Lakini hata nikimiminwa kama sadaka ya kinywaji kwenye dhabihu na huduma inayotoka katika imani yenu, mimi ninafurahi na kushangilia pamoja nanyi nyote. Vivyo hivyo, ninyi nanyi imewapasa kufurahi na kushangilia pamoja nami.