Wafilipi 1:1-2
Wafilipi 1:1-2 NENO
Paulo na Timotheo, watumishi wa Kristo Yesu. Kwa watakatifu wote katika Kristo Yesu walio Filipi, pamoja na maaskofu na mashemasi. Neema na amani zinazotoka kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwana Yesu Kristo ziwe nanyi.