Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Marko 15:15

Marko 15:15 NENO

Pilato, akitaka kuridhisha umati ule wa watu, akawafungulia Baraba. Naye baada ya kuamuru Yesu apigwe mijeledi, akamtoa ili asulubishwe.