Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mika 5:2

Mika 5:2 NENO

“Lakini wewe, Bethlehemu Efrata, ingawa u mdogo miongoni mwa koo za Yuda, kutoka kwako atatokea kwa ajili yangu yeye atakayekuwa mtawala katika Israeli, ambaye asili yake ni kutoka zamani, kutoka milele.”

Picha ya aya ya Mika 5:2

Mika 5:2 - “Lakini wewe, Bethlehemu Efrata,
ingawa u mdogo miongoni mwa koo za Yuda,
kutoka kwako atatokea kwa ajili yangu
yeye atakayekuwa mtawala katika Israeli,
ambaye asili yake ni kutoka zamani,
kutoka milele.”