Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 7:9-12

Mathayo 7:9-12 NENO

“Au ni nani miongoni mwenu ambaye mwanawe akimwomba mkate atampa jiwe? Au mwanawe akimwomba samaki atampa nyoka? Basi ikiwa ninyi mlio waovu mnajua kuwapa watoto wenu vitu vizuri, si zaidi sana Baba yenu aliye mbinguni atawapa vitu vizuri wale wamwombao? Kwa hiyo chochote mnachotaka mtendewe na watu, ninyi nanyi watendeeni vivyo hivyo. Kwa kuwa hii ndiyo Sheria na Manabii.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 7:9-12