Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 7:1-2

Mathayo 7:1-2 NEN

“Usihukumu ili usije ukahukumiwa. Kwa maana jinsi unavyowahukumu wengine, ndivyo utakavyohukumiwa, na kwa kipimo kile upimiacho, ndicho utakachopimiwa.

Picha ya aya ya Mathayo 7:1-2

Mathayo 7:1-2 - “Usihukumu ili usije ukahukumiwa. Kwa maana jinsi unavyowahukumu wengine, ndivyo utakavyohukumiwa, na kwa kipimo kile upimiacho, ndicho utakachopimiwa.