Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 4:5-7

Mathayo 4:5-7 NEN

Ndipo ibilisi akampeleka Yesu hadi mji mtakatifu na kumweka juu ya mnara mrefu wa Hekalu, akamwambia, “Ukiwa ndiwe Mwana wa Mungu, jitupe chini. Kwa kuwa imeandikwa: “ ‘Atakuagizia malaika wake, nao watakuchukua mikononi mwao ili usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe.’” Yesu akamjibu, “Pia imeandikwa: ‘Usimjaribu Bwana Mungu wako.’”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mathayo 4:5-7