Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 28:5-6

Mathayo 28:5-6 NENO

Yule malaika akawaambia wale wanawake, “Msiogope, kwa maana ninajua kuwa mnamtafuta Yesu aliyesulubiwa. Hayupo hapa, kwa kuwa amefufuka, kama alivyosema. Njooni mpatazame mahali alipokuwa amelazwa.