Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 21:42

Mathayo 21:42 NENO

Yesu akawaambia, “Je, hamjasoma katika Maandiko kwamba: “ ‘Jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni. Bwana ndiye alitenda jambo hili, nalo ni la kushangaza machoni petu’?