Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 18:2-3

Mathayo 18:2-3 NENO

Yesu akamwita mtoto mdogo na kumsimamisha katikati yao. Naye akasema: “Amin, nawaambia, msipoongoka na kuwa kama watoto wadogo, kamwe hamtaingia katika ufalme wa mbinguni.