Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 16:13-15

Mathayo 16:13-15 NENO

Basi Yesu alipofika katika eneo la Kaisaria-Filipi, akawauliza wanafunzi wake, “Watu husema kwamba mimi Mwana wa Adamu ni nani?” Wakamjibu, “Baadhi husema ni Yohana Mbatizaji; wengine husema ni Eliya; na bado wengine husema ni Yeremia au mmoja wa manabii.” Akawauliza, “Je, ninyi mnasema mimi ni nani?”