Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 15:8-9

Mathayo 15:8-9 NENO

“ ‘Watu hawa huniheshimu kwa midomo yao, lakini mioyo yao iko mbali nami. Huniabudu bure; nayo mafundisho yao ni maagizo ya wanadamu tu.’”