Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Malaki 3:17-18

Malaki 3:17-18 NENO

“Nao watakuwa watu wangu,” asema BWANA wa majeshi, “katika siku ile nitakapowafanya kuwa hazina yangu ya pekee. Nitawahurumia, kama vile kwa huruma mtu amhurumiavyo mwanawe anayemtumikia. Kwa mara nyingine tena utaona tofauti kati ya wenye haki na waovu, kati ya wale wanaomtumikia Mungu na wale wasiomtumikia.